Skip to content

Mawasiliano ya Ubalozi

Mawasiliano kutoka kwa wakilishi wa Denmark katika nchi za Tanzania na Mauritius. 

Ubalozi wa Uflame wa Udeni,  Dar – Es – Salaam

Ghana Avenue 1
P.O. Box  9171
Dar – es – Salaam
Telephone: +255 (22) 216 5200
Mobile: +255 (0) 784 558 885
Fax: +255 (22) 211 6433
E-mail: daramb@um.dk

Saa za Kazi

Ubalozi: Jumatatu - Alhamisi saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni
               Ijumaa saa 2 hasubuhi hadi saa 7 mchana.

Masuala ya Kikonseli

Jumatatu saa 4 asubuhi hadi saa 6 mchana.
Jumatano saa 4 asubuhi hadi saa 6 mchana. 

Siku ambazo ubalozi utakuwa umefungwa

Wiki

Tarehe

Sikukuu za Tanzania

Sikukuu za Denmark

Jumatano

1 Mwenzi wa Kwanza

Mwaka Mpya

Nytårsdag

Alhamisi

17 Mwezi wa Nne

Alhamisi ya Maundy

Skærtorsdag

Ijumaa

18 Mwezi wa Nne

Ijumaa Kuu

Langfredag

Jumatatu

21 Mwezi wa Nne

Pasaka

2. Påskedag

Ijumaa

16 Mwezi wa Tano

-

St. Bededag

Jumatatu

9 Mwezi wa Sita

-

2. Pinsedag

Alhamisi/Ijumaa

31 Mwezi wa Sababa/ 1 Mwezi wa Nane

Eid Al-Fitr*

 

Ijumaa

8 Mwezi wa Nane

Nane Nane

 

Jumanne

9 Mwezi wa Kumi na Mbili

Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania

 

Alhamisi

25 Mwezi wa Kumi na Mbili

Krismasi

1. Juledag

Ijumaa

26 Mwezi wa Kumi na Mbili

Siku ya  Boxing

2. Juledag

 Sikukuuza Kisilamu ambazo zinategemea mwezi*

 

Ubalozi utakuwa unafanya kazi siku zifatazo

Wiki

Tarehe

Sikukuu za Tanzania

Sikukuu za Denmark

Jumatano

12 Mwenzi wa Kwanza

Sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar

 

Jumatano - Alhamisi

15/16 Mwezi wa Kwanza

Maulid

 

Jumatatu

7 Mwezi wa Nne

Siku ya Karume

 

Jumamosi

26 Mwezi wa Nne

Sikukuu ya Muungano

 

Alhamisi

1 Mwezi wa Tano

Maymosi

 

Alhamisi

29 Mwezi wa Tano

Sikukuu yaku paa kwa Yesu

Kr. Himmelfart

Alhamisi

5 Mwezi wa Sita

Sikukuu ya Katiba ya Denmark

Grundlovsdag

Jumatatu

7 Mwezi wa Saba

Saba Saba

 

Jumanne

7/8 Mwezi wa Kumi

Eid el Hajj*

 

Jumanne

24 Mwezi wa Kumi na Mbili

Siku moja kabla ya Krismasi

Juleaftensdag

Jumanne

31 Mwezi wa Kumi na Mbili

Siku Moja Kabla ya Mwaka Mpya

Nytårsaften

 

Sikukuu za Kisilamu ambazo zinategemea mwezi*