Skip to content

Mawasiliano ya Kikonseli

Mawasiliano kutoka kwa wakilishi wa Denmark katika nchi za Tanzania na Mauritius.

Konseli ya Ufalme Udeni, Arusha

Njrio Road
Kijenge
P.O.Box 2611
Arusha
Mobile: +255 (0) 754 276 980
Mobile: +255 (0) 784 276 981
Email: danconsul.arusha@gmail.com

Saa ya Kazi

Jumatatu - Ijumaa saa 2:30 asubuhi hadi saa 6:30 mchana na saa 8 hadi saa 10:30 jioni.
Jumamosi - Ijumaa saa 2:30 hadi saa 7 mchana.


Konseli ya Ufalme wa Udeni, Zanzibar

Consul Bente Said
House 63/37/7
Lumumba, Saateni
P.O. Box 3046
Zanzibar
Mobile: +255 (0) 777 170 471
E-mail: bentesaid@mail.com

Saa za kazi

Jumatatu - Ijumaa saa 2:30 hadi saa 4:10 asubuhi


Konseli ya Ufalme wa Udeni, Mauritius

Rogers House
5 Presidnet John Kennedy Street
Port Louis
Mauritius
Telephone: +230 202 6603
E-mail: meera.gourdeale@rogers.mu

 

Saa za kazi

 

Jumatatu - Ijumaa saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni.