Skip to content

Kufanya Kazi

https://www.workindenmark.dk/ ni tovuti rasmi la Denmark kwa ajili yakuajiri raia wa nchi nyingine nje ya Denmark.

Kuna njia tatu za kutafuta  kazi na kibali cha kufanya kazi:

  • Umepata kazi katika sekta ambayo inakabiliwa na uhaba wa kazi;
  • Umepata ajira ambayo inatoa kila mwaka mshahara wa DKK 375,000 (c. USD 66, 200) kwa maka;
  • Sifa yako  (Kiwango cha elimu, ujuzi wa lugha, uzoefu  wa kazi na umri) peke yake  ndivyo  vigezo  vya  kuweza kukupatia kibali cha kuishi Denmark.