Skip to content

Visiwa vya Faroe

Visiwa vya Faroe viko katika  bahari ya Atlantic kati ya  Norway, Iceland na Scotland. Ndani ya hiki kisiwa kuna visiwa vingine 18.


The Faroe Islands - The Danish embassy

 

Visiwa vya Faroe vilikuwa sehemu ya Ufalme wa Udeni hadi mwaka wa 1948.  Kuanzia mwaka huo visiwa hivyo vimekuwa vikijitawala venyewe chini ya Home Rule Act. Masuala ya ulinzi na Sera ya Mambo ya Nje haviko chini ya sheria hiyo, lakini mamlaka ya  visiwa hivyo inafanya mazungumzo kuhusu haki za uvuvi na nchi nyngine bila kushirikiasha ofisi ya Mambo ya Nje ya Denmark.