Skip to content

Nchi ya Denmark

Denmark.dk ni tovuti kuu la kupata taarifa za nchi hii. Tovuti hii ina taarifa kuhusu siasa za nchini humo, utamaduni, mila na desturi; pamoja na masuala ya kusoma, kuishi nchini humo na kufanya kazi.

Ukitaka kjifunza zaidi kuhusu Denmark bofya hapa  http://denmark.dk/.  Tovuti hii itakupa taarifa kuhusu yafuatayo:

  1. Jamii ya Denmark
  2. hali ya maisha
  3. Mazingira
  4. Kusoma, n.k.

Kwa masuala ya utalii bofya hapa: visitdenmark.co.uk

 "Nyhavn"