Skip to content

Utafiti

Denmark inashirikiana na taasisi za utafiti kuimarisha uwezo wa utafiti wa nchi zinzoendela, na kuzalisha maarifa mapya ambayo yanweza kutumika katika misaada ya maendeleo.

Kwa taarifa zaidi soma mkakati wa Denmark ambao unasaidia utafiti wa maendeleo; bofya kulia mwa ukurasa huu 

Danida inasaidia miradi kadhaa ya utafiti nchini Tanzania, kwa kutumia njia ya mchakato wa uchaguzi wa kitaifa na wa kimataifa. Mchakato huu wa kimataifa unatekelezwa na Kamati ya Ushauri wa maendeleo ya Utafiti. Fomu ya maombi inapatikana kulia mwa ukurasa huu.

Danida,  inasaida kujenga uwezo katika Vyuo Vikuu, kupitia mradi wa kujenga na kuimarisha Vyuo Vikuu na pia wanatoa msaada kwa utafiti wa kimataifa. Kwa taarifa zaidi kuhusu miradi ya Utafiti Tanzania, bofya  kulia mwa ukurasa huu. Sehemu hii ina orodha ya taarifa za msingi kuhusu miradi ya utafiti ya sasa na ya hivi karibuni.