Skip to content

Malipo na Matokeo

Hapa chini ya ukurasa huu, unaweza kuona kwa ujumla fedha ambazo zimetolewa Kwa Tanzania kupitia Danida, na pamoja na matokeo.

Malipo ya 2013:

Sekta ya Barabara DKK 65.9 milioni
Sekta ya Biashara DKK 53.5 milioni
Ubia wa Biashara katika Danida DKK milioni 3.0
Sekta ya Afya DKK 140.4 milioni
Utawala Bora DKK milioni 57.3
Bajeti Kuu ya Serikali DKK milioni 126.8
Sekta ya Masuala ya Kijinsia DKK milioni 7.2
Sekta ya Mazingira DKK 7.1 milioni
Maeneo Mengine DKK milioni 4.4

Jumla ya fedha zilizotumika ni: DKK milioni 492.6

Matokeo na Mafanikio:

Matokeo makubwa yamepatikana kwenye ushirikiano wa kimaendeleo. Kwa taarifa zaidi kuhusu matokeo maalum, tafadhali wasiliana na programu zinazohusika.

Licha ya mafanikio katika maeneo ya maendeleo, Ubalozi pia  umefanikisha matokeo ya ndani katika  huduma za kikonseli, kukuza mauzo na mawasiliano ya nje. Mikataba kadhaa imesainiwa kati ya makampuni ya Denmark na Tanzania, kwa miradi ya ubia ya maendeleo,  taarifa juu ya ushirikiano wa maendeleo katika Tanzania;  zimechapishwa katika magazeti ya Denmark na magazeti ya Tanzania.

 

 

 

 

 

 

""